kyannala nabiso
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 645
- 143
Yes mtumba wa OmanDuuuh mtumba wa OMAN wallahi mafii mushkeel in joti voice
Unaakili timam wewe unavyoambiwa mtumba kwa akili yako ndogo unajua ni mtumba uliotumika?Acheni zarau mtumba wa Oman??
Yani kijambo cha muarabu?? No way
Hao si ndo wale wanawatesafa mabeki 3 wa kibongo wanaoenda kule??
Takbiiir
Kwahyo unataka kusema kuna mtumba ambao haujatumika??Unaakili timam wewe unavyoambiwa mtumba kwa akili yako ndogo unajua ni mtumba uliotumika?
[emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag, mwambie aanze kueleza maana ya mtumbaKwahyo unataka kusema kuna mtumba ambao haujatumika??
[emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag, mwambie aanze kueleza maana ya mtumba
[emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag, mwambie aanze kueleza maana ya mtumba
Ndio maana yake kuna mtumba ambao umetumika na ambao haujatumika acheni kukalili, hayo Mashuka nimtumba lakini yanakatwa kwenye lolaKwahyo unataka kusema kuna mtumba ambao haujatumika??
Nisijibu nakuogopa?[emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag, mwambie aanze kueleza maana ya mtumba
Na nielezee kwako kama nani labda?[emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu nitag, mwambie aanze kueleza maana ya mtumba
Ndio ninavyo sema so what?Kwahyo unataka kusema kuna mtumba ambao haujatumika??
Waambie hao wanaokaliliKuna zinazokuja hazijatumika
Wenye maduka wanapisafisha maduka wanaweka kwenye mitumba
Inaletwa huku kwetu
Karibu dearMazuriii hili nimelielewa sana[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 974875
Ngoja nitafute hela
Ndio maana yakeKatoka Mwijage,mitumba imeanza kuingia
Waambie hao wanaokalili