Tanesco, mamlaka za maji, tra, wamekata mguu, utabaki kuuzia vocha tu, ambazo Nazi sasahivi watanzania wamehamia kwenye kuunganishwa vifurushi kwa mawakala, hata mauzo ya vocha za kukwangua yameshuka mno

That is fact. Fuatilia e-government utaona. Angalia kama faini za road unalipia selcom,angalia kama chet cha kuzaliwa unalipia selcom. Now luku wanahamia huko e-payment.
Kwahiyo unataka biashara imdodee mwenzio kama ilivokudodea wewe? acha roho ya namna hiyo yani we unaona hasara uliyoipata wewe uihamishie kwa mwenzio, ndo wale wanaotaka akishindwa kitu na kila mtu ashindwe,
Hapa hakuna msemaji wa watanzania/makampuni watu wanaongelea mazingira ya biashara yanavoenda kusudi anayenunua ajue anaenda kutana na nini sokoni
Hata hivo hii mashine haina huduma moja tu ya luku mbona zipo nyingine na nzuri zaid ya luku na tena zina kamisheni nzuri, kama upo eneo lenye mzunguko wa watu wengi ndio utaelewa zaidi, usitegemee kuuza luku ama vocha peke yake
Mashine bado ipo, kwa wale mliokuwa na wasiwasi kwamba luku haiuzi tena, sasaiv ipo fresh na luku inauzika kama kawaida pamoja na huduma zingine, mwenye kuhitaji aje, tuongee biashara