Nauza mashine ya kusagia miwa

Nauza mashine ya kusagia miwa

Gelisha

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
21
Reaction score
8
Habari wana jamii forum,ninauza mashine ya kusagia juisi ya miwa...yan ni mashine ofisi nkimaanisha mashine na kijumba kbsa na shelf zake....ni ya umeme na ni mpya kabisaaa....kwa bei chee,ambae yupo anahitaji ani Pm tuongee biashara
 
weka picha kisha utuandikie hiyo bei Chee kwa tarakimu.
Weka contact zako na location yako.
Pia hili sio jukwaa la matangazo ya biashara.
Moderator, Paw Uzi huu uhamishiwe jukwaa husika
 
Kama unaihitaji njoo PM tuongee biashara mkuu
Utaitwa tapeli sasa hivi. Kwanini usiandike bei, ukaweka picha, ukataja ulipo, ukaweka mawasiliano kisha usubiri watu waje pm wenyewe?

Kwanini bei ifichwe?
 
weka picha kisha utuandikie hiyo bei Chee kwa tarakimu.
Weka contact zako na location yako.
Pia hili sio jukwaa la matangazo ya biashara.
Moderator, Paw Uzi huu uhamishiwe jukwaa husika
Mashine ipo Dar es salaam,tegeta bei ni 2,200,000.......tuwasiliane kwa namba 0693208482
 
Attachments

  • IMG-20180511-WA0004.jpg
    IMG-20180511-WA0004.jpg
    47.6 KB · Views: 90
Habari wakuu,nauza mashine ya kukamulia juisi ya miwa,ipo Dar es salaam,Salasala...ni mashine ya office yake na shelf kabisa za kuhifadhia vitu vyako na ukafunga kwa kufuli,mashine inatumia umeme,bei ni 2,200,000...kwa yeyote anaehitaji tuwasiliane kwa namba 0693208482
 
Attachments

  • IMG_20180716_122401.jpg
    IMG_20180716_122401.jpg
    102.4 KB · Views: 97

    102.4 KB · Views: 68

Mkuu mbona Pm yako haifunguki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom