Nauza mashine ya juice ya miwa

Nauza mashine ya juice ya miwa

supermama

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Habari wanaJF,

Nauza mashine yangu ya juice ya miwa, bei 450,000, mazungumzo yapo.

Napatikana Tanki bovu, Mbezi - 0715895656..
 
ingesaidia kuvutia watu kama ungeweka picha ya hio machine
 
vile vile muda uliomaliza nayo ikifanya kazi na capacity yake
 
Kama alivyosema Ngamba picha muhimu pamoja na specification zake ili wadau waitathmini kuliko kuandika tu! unauza mashine ya juice ya miwa haelewiki aina gani au uwezo wake upoje?
 
inatumia umeme au mkono?

Duhh,aisee hii kali,hata ya umeme si hadi unatumie mkono kuwasha swichi na kuweka Muwa.

Any way,mie ningeuliza hivi

Hiyo Mashine yako ni Automatic au Manual ?

Hee,hii nayo naona kama inachanganya pia,haya tumeeeleweka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom