Nauza mashine mpya ya kufulia nguo aina ya Von

Nauza mashine mpya ya kufulia nguo aina ya Von

TANGAZO LA BIASHARA:

Laundry machine (VON):
Ina capacity ya kufua 15kg
Haina shida yoyote
Ina miezi 4 tu toka inunuliwe dukani.

Kimpira cha kuingizia maji tu ndicho kilikatika.

Manual...
Plastic (not metallic) .... haipati kutu au kuharibiwa na maji chumvi

Bei ya dukani ni 550,000 -600,000 Tshs..

Bei ya nyumbani toa offer (negotiable)... 😁

Sababu za kuuza: Dharura

Contact/ Mawasiliano:
0763718328
Majohe - Ilala, Dar

Mashine bado ipo wakuu!
 
Mkuu inafua kweli hii mbona ndani yake sioni hats mapanga ya kufulia
 
Back
Top Bottom