Nauza majiko Sanifu ya mkaa

Coolant

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
1,259
Reaction score
2,209
Heshima kwenu wakuu, ninauza majiko ya kisasa kabisa ya mkaa yaliyo buniwa US kwa madhumuni ya kukupunguzia matumizi ya mkaa na kukuokolea muda wa kukaa jikoni.

Jiko hili mbali ya kukupunguzia matumizi ya mkaa kwa zaidi ya 50% pia lina sifa zifuatazo;

1. Linapata joto hadi kufikia nyuzi joto 1000 litakalo kufanya upike haraka kwa kutumia mkaa kidogo.

2. Limetengenezwa na chuma imara (high-chromium laced grate) kinacho himili joto na kina matundu madogo madogo yatakayo kuwezesha kutumia hadi chenga chenga za mkaa.

3. Ceramic fiber insulation, hii inasaidia kutunza joto kali lililopo ndani ya jiko lisitoke nje ya jiko.

4. Easy ash-tray, hili ni sinia la kutunzia majivu na ku control joto. Kupitia kisinia hiki, jiko lako litabakia kua safi na unapopikia pia patabaki kua safi.

5. Jiko lina warranty ya mwaka mmja, ikitokea limeharibika utatengenezewa bure kabisa.....niamini mimi!!!

Bei ya jiko moja ni 110,000/= (laki moja na elfu kumi tu). Ukihitaji kuanzia majiko 10 nitakuuzia kwa bei ya jumla. Nakuletea popote ulipo Tanzania, usafiri juu yangu.


 
HUYO ANAEPIKA NI WEWE?
 
Nipo Morogoro, yanapatikana sehemu gani? Nahitaji . Simu 0715006496.
 
Nipo Morogoro, yanapatikana sehemu gani? Nahitaji . Simu 0715006496.

Nimempa namba yako mtu wa morogoro atakupigia, ikitokea akasahau kukupigia mkumbushe kwa namba hii +255 67 656 8885
 
mkuu @oolant nicheki whatsapp namba 0653811003..
nitumie picha zaidi maanahapa naona chenga chenga tu....
 
Morogoro upo sehemu gani nije kuchukua mkuu nipe Maelezo vizuri

Mkuu piga hii namba +255 67 656 8885 utaongea na wakala wa morogoro atakuelekeza vizuri, au niambie uko sehemu gani nimwambie akuletee
 
Contact please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…