Nauza mahindi yapo Morogoro

Nauza mahindi yapo Morogoro

kitumbotala

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
516
Reaction score
625
Ndugu zangu anaejuwa soko la Mahindi Morogoro
Naomba anijuze..nauza mahindi yangu niliyoyatunza Naona Bei hazipandi kabisa na hali ni tete
 
Da huu mwaka kimeo mm nnayo yamedoda tu store songea mkuu nakushauri haingaika uyatoe kipindi hiki b4 mahindi ya vuli kuvunwa
 
Ni vizuri uweke bei na idadi ya gunia ulizonazo ili hata wateja wajue biashara inakuaje Mkuu au unataka watu wakuPM kuuliza?
 
Bei gani na una magunia Mangapi ya mahindi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom