Sky-catcher
Member
- Apr 20, 2016
- 13
- 0
Nipo Dar.
Nauza kwa kilo na kwa Tonne. Rejareja kilo sh. 1990, jumla kilo sh. 1610.
Dar, bei kwa kilo rejareja ni sh. 1990 na jumla ni sh. 1610. Karibu.
Hapana mkuu. Haya sio ya bisi, ni kwa matumizi ya unga, na mengineyo. Nipo Dar, karibu sana.
Nashukuru kwa mchango wako BABA TUPAC. Natumaini sasa umeuliza. Bei kwa reja reja kilo ni sh. 1990, na jumla ni sh. 1610. Karibu sana.Wanao uza huwa wanaweka bei, na wasiwasi kuwa wewe utakuwa unagawa hayo mahindi au ni dalali
Nauza kwa kilo na kwa Tonne. Kilo nauza Tsh 1990 rejareja, na sh. 1610 jumla. Nipo Dar, karibu.
Kwa bei hiyo utasubiri sana hata mchele wa kyela kilo ni 1800N
Nauza kwa kilo na kwa Tonne. Rejareja kilo sh. 1990, jumla kilo sh. 1610.
Hakuna shida mkuu wangu. Hebu nipe bei yako mkuu. Pengine naweza kufanya biashara na wewe.
Bei ya mahondi 1700kgHakuna shida mkuu wangu. Hebu nipe bei yako mkuu. Pengine naweza kufanya biashara na wewe.
Ingia hapo google check taarifa za yellow maize/corns.Kwani haya mahindi yenyewe yana nn? Huku nilipo kilo ya mahindi ya kawaida ni 250...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa. Ni bei nzuri pia. Karibu.