Mjasirinamali Member Joined Mar 7, 2017 Posts 32 Reaction score 19 Sep 29, 2017 #1 Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums, Ninamahindi mabichi yapo shamba, heka moja nauza kwa bei ya jumla. Hivyo nahitaji mteja tafadhali. Shamba lipo Mlandizi, bonde lamto Ruvu, maarufu kama kivukoni kwa Mpili. Mwenye uhitaji tafadhali tuwasiliane.
Wasalaam wanajumuia wa JamiiForums, Ninamahindi mabichi yapo shamba, heka moja nauza kwa bei ya jumla. Hivyo nahitaji mteja tafadhali. Shamba lipo Mlandizi, bonde lamto Ruvu, maarufu kama kivukoni kwa Mpili. Mwenye uhitaji tafadhali tuwasiliane.