P plasido divi Member Joined Feb 1, 2015 Posts 90 Reaction score 21 Nov 7, 2017 #1 Kwa anae hihaji mahindi nina gunia 50 na kila gunia ni shilingi 50000 tu napatikana Arusha kisongo kwa mawasiliano piga 0759547047
Kwa anae hihaji mahindi nina gunia 50 na kila gunia ni shilingi 50000 tu napatikana Arusha kisongo kwa mawasiliano piga 0759547047
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,325 Reaction score 9,532 Nov 7, 2017 #2 Hivi gunia moja linatoa unga kilo ngapi??
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 6,237 Reaction score 6,610 Nov 7, 2017 #3 Zeus1 said: Hivi gunia moja linatoa unga kilo ngapi?? Click to expand... Uzito si uleule wa mahindi, unategemea gunia la kilo 100 litoe unga wa kilo 120..?!!
Zeus1 said: Hivi gunia moja linatoa unga kilo ngapi?? Click to expand... Uzito si uleule wa mahindi, unategemea gunia la kilo 100 litoe unga wa kilo 120..?!!
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,325 Reaction score 9,532 Nov 7, 2017 #4 kadagala1 said: Uzito si uleule wa mahindi, unategemea gunia la kilo 100 litoe unga wa kilo 120..?!! Click to expand... MKUU, lazima upungue. ..bdo mana nimeuliza...yani ukichukua gunia moja la maindi ukakoboa then kusaga,unapata kilo ngapi ya unga... Nadhani hukunielewa
kadagala1 said: Uzito si uleule wa mahindi, unategemea gunia la kilo 100 litoe unga wa kilo 120..?!! Click to expand... MKUU, lazima upungue. ..bdo mana nimeuliza...yani ukichukua gunia moja la maindi ukakoboa then kusaga,unapata kilo ngapi ya unga... Nadhani hukunielewa
R Rutakyamilwa JF-Expert Member Joined Feb 27, 2009 Posts 1,871 Reaction score 1,242 Nov 7, 2017 #5 Zeus1 said: MKUU, lazima upungue. ..bdo mana nimeuliza...yani ukichukua gunia moja la maindi ukakoboa then kusaga,unapata kilo ngapi ya unga... Nadhani hukunielewa Click to expand... Matter can neither be created nor destroyed..
Zeus1 said: MKUU, lazima upungue. ..bdo mana nimeuliza...yani ukichukua gunia moja la maindi ukakoboa then kusaga,unapata kilo ngapi ya unga... Nadhani hukunielewa Click to expand... Matter can neither be created nor destroyed..
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,325 Reaction score 9,532 Nov 7, 2017 #6 Rutakyamilwa said: Matter can neither be created nor destroyed.. Click to expand... Sawa.[emoji15] [emoji15]
Rutakyamilwa said: Matter can neither be created nor destroyed.. Click to expand... Sawa.[emoji15] [emoji15]