Nauza maharage ya kopo

Nauza maharage ya kopo

Tangazo halina mvuto ndo mana hujapata comment hata moja mpaka sasa. Weka namba,bei,mahali yanapopatikana na ikibidi na picha za bidhaa husika
 
Teddy next time angalia namna bora ya tangazo ili usiwachoshe wanaohitaji kwanza heading yako ifanane na bidhaa unayotangaza pili weka full détails kama :aina ya bidhaa/ wingi wake/ mahali ilipo/ bei kwa kipimo usika / etc hii itafanya usiulizwe maswali mengi . wish u lucky
 
Habarini wapendwa ninauza maharage roz koko pia napokea tenda mashuleni
Mkuu weka taarifa zote muhimu kuhusu biashara yako kwenye tangazo lako hapo juu.

Kutokufanya hivyo kutapelekea tangazo lako kufutwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom