Waswahili bwana,yeye ametoa tangazo,la maana ilikuwa kumrekebisha pale lilipopwaya-zilipokosekana details,lakini kuanza kumpiku si biashara,mkienda dukani au sokoni mtu akakueleza biashara yake na bei unamwambia maneno haya?Na wengine wamezinduka na kuanza kutangazia juuu ya thread ya bambo-ambaye kajitayarisha kuitengene za kwa gharama kubwa sana.Anyway Inshalaah utapata wateja mh.Bambo aka MkimbizwaMbio.:clap2: