Nauza Machine za kuchana mbao

Nauza Machine za kuchana mbao

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,469
Kuna mashine za kuchana na kuranda zote 2 Bei-Million 60 Tsh.Serious buy Contact me 0752307878.
 

Attachments

  • 1398870874460.jpg
    1398870874460.jpg
    54 KB · Views: 445
  • 1398870906908.jpg
    1398870906908.jpg
    36 KB · Views: 319
  • 1398870924047.jpg
    1398870924047.jpg
    44.8 KB · Views: 308
  • 1398870945183.jpg
    1398870945183.jpg
    51 KB · Views: 427
  • 1398870961357.jpg
    1398870961357.jpg
    39.2 KB · Views: 313
  • 1398870976542.jpg
    1398870976542.jpg
    40.3 KB · Views: 349
  • 1398870996212.jpg
    1398870996212.jpg
    43.8 KB · Views: 325
Kaka maelezo hayajitoshelezi ya mwaka gani cc ngapi engine model na ipo mkoa gani???
Usisahau na km zilizotembea....
 
Dada amu nashukuru kwakuja katika huu uzi ila nakushauri kitu kama hukijui achana nacho si dhambi kupita kimya kimya sasa watu wanashangaa ulichokisema na huu uzi ni tofauti kabisa...Ila kwakusaidia my rafiki mpendwa hizi ni mashine za kuchana Mbao na kuranda mbao hazina cc hazina speed meter navitu kama hivyo labda zipo Dar na mwaka wake ni 86
 
Last edited by a moderator:
Kaka kiiza, milion 60 Mashine zote au kwa kila moja. You don't need to answer, nishakuelewa
 
Nlikusaidia walau thread iwe juu maana viewers wengi no comment......
 
Sasa hapa nahitaji comment au wanaopiga simu ndo la msingi maana wanaona anapiga simu comments aweke ya nini? na amishaongea na mimi?
 
Na wewe hongera kwa mchango wako kwa kupandisha thread😜
 
Back
Top Bottom