Nauza MacBook

Nauza MacBook

madaili

Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
32
Reaction score
27
Note:Mzigo huu nimeshauza. Shukrani
Nauza MacBook, 13 inch screen, 2.26GHz Intel Core 2 Duo, Operating system ni macOS Sierra

Memory 2GB RAM(Inaweza kuongezwa mpaka 4 ama 8GB kwa kiasi kidogo cha pesa), 250 GB HDD

Pia kama zawadi utapata na Benq laptop.
Mzigo upo China, sio fake, zote ni laptop zangu mwenyewe ninazotumia, hazina matatizo.
Nahitaji kuhamia mji mwingine, napunguza mzigo ili niondoke mwepesi. Kwa hiyo mwisho wa kuulizia ni tarehe 11 saa 5 asubuhi.

Kama unahitaji tuwasiliane: 008613********3
Ni bora utume message au unipigie simu, WhatsApp ipo slow, ama kama una WeChat niadd kwa WeChat.

Bei ni Dola: us$ 400 pamoja na usafiri mpaka bongo, pia kama mfuko wako unaweza kutoa kiasi gani, usisite kuniuliza nicheki kama itawezekana.
Nawatakia jumapili njema.

1558231617.jpg

783019543.jpg

575380834.jpg

1082787420.jpg
 
mwisho Wa kuulizia ni tar 11 Una maana gan? kusema ivyo, mi naomba email yako tuwasiliane
 
mwisho Wa kuulizia ni tar 11 Una maana gan? kusema ivyo, mi naomba email yako tuwasiliane
Manake haitakuwa mikononi mwangu tena, either nimeiuza ama nimewakabidhi madalali wanisaidie kuuza, nicheki hapa kwa email: ********3@qq.com
 
Back
Top Bottom