illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
nimeshayauza asante jf mod nisaidie kufuta hii thread
Weka picha mzee
upo wap
mleta mada mimi sihitaji mabati ila nakupa hongera kwa huo mjengo hongera sana mleta mada
Ziko jumla ya bati ngapi unazouza?
mita sita na nusu ziko mbili, mita nne na nusu ziko tano mita tatu liko moja mita mbili yako mawili mita moja na nusu yako kumi
Aisee huyo fundi aliye overestimate ulimchukulia hatua gani? Manake hiyo sasa ni too much...
Au alitaka akuibie ukamkaba vilivyo. Mafundi wengine nuksi sana
ni fundi mzoefu kama ulivyosema alikuwa na lengo la kimaksudi ila nilihakikisha nasmamia kazi mpaka mwisho hivyo akashindwa kutimiza azma yake hiyo ovu....tumekubaliana tuyauze mabati ndio nimmalizie labour charge......
Pole...
Naddhani iwe funzo kwa wengine mnaokwepa utitiri wa wataalamu mtaani kwa kukimbilia urahisi...Yumkini hata ramani ulipewa tu na fundi! Siku nyingine,hata kama sio wewe mshauri rafiki yako ama mwanao amwone msanifu majengo,mkadiriaji wa gharama za majenzi,mhandisi, na wataalamu wengine ili kuepusha mikanganyiko inayozuilika...
ni fundi mzoefu kama ulivyosema alikuwa na lengo la kimaksudi ila nilihakikisha nasmamia kazi mpaka mwisho hivyo akashindwa kutimiza azma yake hiyo ovu....tumekubaliana tuyauze mabati ndio nimmalizie labour charge......
Ingekuwa pieces zote zinafanana size ingekuwa rahisi kununulika. Anyways.. huenda akatokea mtu atakayehitaji.mita sita na nusu ziko mbili, mita nne na nusu ziko tano mita tatu liko moja mita mbili yako mawili mita moja na nusu yako kumi
nimenunua mabati kiwandani alaf (aluminium Africa) yamezidi yaani fundi ali over estimate mabati aina ya maxicover sijayagusa kabisa mita sita na nusu yako mawili mita nne na nusu yako saba mita mbili na nusu yako mawili mita tatu liko moja na mengine ...kiwandani wanauza 15840 kwa mita mi ntauza 12500 namba yangu 0787478449[/QHongera sana kiongozi kwa hatua uliyofikia,mie ni fundi wa umeme nilikuwa nakuomba unipatie kazi ya kukufanyia wiring ya umeme katika nyumba yako,mie nipo dar,kwa maasiliano zaidi tuwasiliane 0718 30 21 32![]()