Nauza Lumia 1320

Nauza Lumia 1320

Maberere

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
316
Reaction score
93
Ni Lumia 1320 katika hali nzuri bei 400k.

Kama uko unaitaka ni pm!
 
Hii siyo simu za kawaida hii ni high brand ingia gsm arena utaona kila kitu. Picha ni kwa zile simu ambazo hazitambuliki kimataifa.

Kwa hili jibu ni kama sijakuelewa ..!
Unamaanisha huwezi weka picha coz inatambulika kimataifa ..?
 
Kwa hili jibu ni kama sijakuelewa ..!
Unamaanisha huwezi weka picha coz inatambulika kimataifa ..?
Ndo natumia siwezi kuipiga picha na sina camera wala simu yenye camera nzuri. Mteja aingie Google then atype Lumia 1320 atapata picha na specs' zote.
 
Mzee umeacha biashara ya kutuagizia tablets na Androids toka China!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom