Nauza lorry tone 15 kwa Bei powaaaaa

Nauza lorry tone 15 kwa Bei powaaaaa

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
1,802
Reaction score
284
Liko katika Hali nzuri na linafanya kazi. Kwa sasa Liko Mtwara. Anayehitaji ni-mail tway4di@gmail.com
 
la mwaka gani? aina gani?? limekua tanzania kwa muda gani?? mileage kiasi gani?? limelipiwa ushuru?
 
Fusso, nilinunua Dubai 2010.. Limelipiwa kula kitu linafanya kazi
 
poa

lazima inkoskaaz atakucheki au kaizer, wanahitaji sana lori
 
Weka bei ya kuanzia. Mtwara sehem gan mkuu Tandahimba,Newala,Masasi,Nanyumbu au Mtwara mjini ili tutume vijana wakalichek.

Weka detail za kutosha mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom