Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
bei yote hiyo wakati napata kwa laki tano tu waibie.Nauza line za Tigopesa complete na vitabu vyake pamoja na vitabu vya kusajilia Tigopesa kwa sh. 700,000 tu. Mwenye kuhitaji ani PM
bei yote hiyo wakati napata kwa laki tano tu waibie.
bei yote hiyo wakati napata kwa laki tano tu waibie.
Hahahha 350k zimejaa kibao mjini hapo. Otherwise useme unauza na salio la 300k ndani yake.
haya watapeli!Line ya Tigopesa laki tano? Ya mkononi sio? Na vitabu na mabango? Tatizo lenu mmezoea utapeli, humpati mtu kirahisi hivyo siku hizi! Kawadanganye washamba!
Huuzi na tigo?
Hiyo ya laki3 na nusu iko wapi naitaka.
Hahahaaa mkuu, acha fujo!!!!Huuzi na tigo?
Hahahaaa acheni masihara jamaniHuuzi na tigo?
Huuzi na tigo?
Something is very wrong ,....Haiwezekani hizi line zikawa this expensive kwenye black market.Ina maana Tigo kama kampuni mnaujua huu ulanguzi wa bidhaa zenu unaofanywa na wafanyakazi wenu !hii inayoonyesha Tigo kuna njaa kali !