Nauza line za Tigopesa na Airtel money

Nauza line za Tigopesa na Airtel money

ndii

Member
Joined
Apr 29, 2015
Posts
15
Reaction score
0
Habarini,

Nauza line ya Tigopesa Tshs 500,000 na line ya Airtel Money inauzwa Tshs 200,000. Napatikana Banana-Ukonga.

Karibuni..
 
Weka namba ntakutafuta..

Ila kabla sijakutafuta naomba kuuliza, hyo line ya tigopesa nikitoa 500,000 humo ndan ya line naikuta ama inakuiwa haina kitu??

Na je ukiniuzia hiuo line unanisajilia hapo hapo inakuwa na jina langu kamili ama inakuaje??
 
Airtel money line nauza laki 2 na unapata float ya laki moja. Ukiwa na leseni ya biashara,Tin no na kitambulisho utapata kwa majina yako.
 
Back
Top Bottom