YOUNGMUSHI Member Joined Aug 12, 2013 Posts 17 Reaction score 3 Aug 23, 2013 #1 Wadau Ninauza line ya uwakala wa M-PESA Bei Tshs 300,000 Mawasiliano 0716 488632 au 0717 430012 Attachments M-pesa-vodacom.jpg 12.8 KB · Views: 105
J jiliml Senior Member Joined Jun 12, 2013 Posts 160 Reaction score 24 Aug 24, 2013 #2 piga hapa 0689626886 tsh 250,000/mazungumzo yapo
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,880 Aug 24, 2013 #3 jamani kwani hiyo biashara imekuwaje?!mbona kila leo watu wanauza hizo TILL?hadi laki na 50 kwa sasa unaipata!
jamani kwani hiyo biashara imekuwaje?!mbona kila leo watu wanauza hizo TILL?hadi laki na 50 kwa sasa unaipata!
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Aug 24, 2013 #4 mi nauza ya kwangu 150,000..... anayehitaji anitumie namba yake pm nitampigia.... niko dsm