Nauza line ya mpesa

Na mimi nauza ya kwangu:
Bei Tsh 195,000
Inafanya kazi..
Zipo zote SIM 1 na SIM 2 pamoja na Log na Registration Books zake.
Ninaiuza kwa sababu nimepata laini mpya yenye jina langu.
Piga Simu: 0753-573-063
 
Na mimi nauza ya kwangu... laki na nusu tu, siriaz baya anitumie namba yake pm........
 
wewe wa laki na nusu ni pm namba yako nikuletee mzigo saiv
 
Ni hatari sana kununua line ya MPESA, TIGOPESA ama hata AIRTELMONEY kwa mtu,kuna rafiki yangu alikuwa hapahapa Dar alinunua line ya TOGPESA kwa mtu then huyo mtu akaondoka zake Mwanza,jamaa kaweka kwenye TOGOPESA hiyo shilingi milioni 3 kwa ajili ya biashara.Kwa taarifa yako jamaa alizikomba zote na jamaa alieuziwa line alivoenda TIGO aliambiwa kuwa hawawezi kushughulikia suala lake maana line haikuwa ya kwake kwa hiyo amtafute huyo mhusika mwenye line wayamalize.Ni mwezi umepita huyo jamaa aliezuza line hapatikani na huku nyuma ameacha majonzi.So in short bora ufaiti kivyako upate line yako mwenyewe ambayo utaisajili kwa jina lako mwenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…