eh heeeeee member jerrybanks zle gari zako 3 ziko wapi au ndio hizi hapa kwa fundi sele nini? halafu mafundi saiti wanasema simenti zimeisha na nondo zimeisha pia wanakupigia hupatikani.Matusi yanini mkuu?.kwenye uzi wa ULIANZAJE KUKAA GETTO ulikuja na story yako ya kuwa now unamiliki kiwanja, nyumba unaimalizia, biashara nyingi, gari 3......Getto lako haliendani na story uliyotupa..hadi king'amuzi umeshindwa lipia...Hahahahaha..itunze nakuja kuinunua hiyo TV.
👇Mkuu unaitambuaje og na fake?
simple trick ambayo unaweza kutumia kwa kifaa chochote hata kama si tv,andika zile imei namba za kifaa chako kisha search google angalia results zitakazokuja,kama ukiandika imei za tv sony 32inch pcha itakuja ya hyo tv jina mpk na website yao.
ukiandika imei google kisha majibu yakaja tofauti na kifaa chako hapo jua unakaribia kununua mbuzi kwenye gunia kama ndugu yetu mwenye hii thread,kamata tu hilo kwasasa.
unafikiria maisha yngu ni kama yako kudandia dandia ya watu? still now najiuliza hvi kweli watu kama wewe wapoeh heeeeee member jerrybanks zle gari zako 3 ziko wapi au ndio hizi hapa kwa fundi sele nini? halafu mafundi saiti wanasema simenti zimeisha na nondo zimeisha pia wanakupigia hupatikani.
namba hzo njoo utapata majibu yoteMatusi yanini mkuu?.kwenye uzi wa ULIANZAJE KUKAA GETTO ulikuja na story yako ya kuwa now unamiliki kiwanja, nyumba unaimalizia, biashara nyingi, gari 3......Getto lako haliendani na story uliyotupa..hadi king'amuzi umeshindwa lipia...Hahahahaha..itunze nakuja kuinunua hiyo TV.
kingine ukiondoa trick niliyokwambia penda kuangalia LOGO ya kifaa unachonunua,mara nyingi sana kwa zaidi ya asilimia 90 logo za tv au vitu feki huchorwa kwa nnje ya body/cover/housing ya hicho kifaa unaweza ukachukua kiwembe ukaenda ukakwangua au kama ni ya kubandika kama ilivyokua tv ya mwenye hii thread unaweza kuibandua tu ikatoka.Mkuu unaitambuaje og na fake?
sasa kutana na wanaojua tv wajanja wa mji halafu jilinganishe na wewe unaesema kutoka hapo ulipo kuja hapa k.koo unatumia dk 10 tu jerrybanks yani upo pua na mdomo na k.koo lakini unauziwa hiyo tv na wewe bila aibu eti unaandika bei 300kFIXED yani uko siriazi hiyo 300k ni fixed kweli jerriiii babaaaangu kweli whooooooweeiUkiachana na majibishano yenu ambayo hayanihusu ila ukweli ni kuwa hiyo ni Lg fake
Mhusika tafuta og uone nembo yake inakaa wap then utaelewa kuwa yako ni fake
Umeharibu Kila Kitu 😁😂😀😄😄😏😏hiyo ni copy LG ambayo bei ya jumla kariakoo kuanzia 10pieces ni 150k,bei ya kununua dukani mpya ni 280-250 unapata mpya ndani ya box lake.
wewe unauza 300k bei sio rafiki kwa aina ya tv unayouza,atleast uwe muungwana bei yako uza 200k mkuu.
Wewe achana na huyu mwamba. Mbona tangu kitambo anajulikana ana fix za kufa mtu. Bahati mbaya hii ID ndiyo anatumia kwenye biashara zake ila kwa wazoefu tunajua ni mpiga kamba maarufu.Matusi yanini mkuu?.kwenye uzi wa ULIANZAJE KUKAA GETTO ulikuja na story yako ya kuwa now unamiliki kiwanja, nyumba unaimalizia, biashara nyingi, gari 3......Getto lako haliendani na story uliyotupa..hadi king'amuzi umeshindwa lipia...Hahahahaha..itunze nakuja kuinunua hiyo TV.
Mtu mzima Kujisifia unamiliki tv[emoji3] huna hela dogo uzuri siuzii njaa, Nina tv ya 1.300.000 nina tv mpya ya 1.950.000 Halafu utajilinganisha na mm.
Hiyo hela inatosha kabisa kukulipia mahari kwa baba yako nikuoe
nimeshasema mimi ntakua sikubali kuona watu wanalizwa humu JF nitaropoka kila kitu labda nisikutane na mtu anataka alize member wa JF wauze vitu Feki huko nnje ya JF ila nikikutana na thread ya kitu najua ukweli wake namwaga mcheleee.Umeharibu Kila Kitu 😁😂😀😄😄😏😏
kumbe ni mzee wa fix halafu ameshaanza kutaka kuruka kuwa hilo sio geto lake,dalili tu zimeonyesha. 🤣Wewe achana na huyu mwamba. Mbona tangu kitambo anajulikana ana fix za kufa mtu. Bahati mbaya hii ID ndiyo anatumia kwenye biashara zake ila kwa wazoefu tunajua ni mpiga kamba maarufu.
mwambie tu maana🤣 halafu amini nakuhakikishia simjui ila Hana TV huyo mi nakwambia kama sio dalali anapewa auze tv za watu basi anakaa kwa ba mkubwa ake ndio kakuta hiyo tv🤣
tv/kifaa original kitachakaa mpaka kitaisha kbsa lakini LOGO haifutiiki haibanduki haipoteiMkuu SEASON 5
Nakuelewa Vema, Nina Television Samsung
Hapo Kwenye Body Logo Bhalaa Huwezi Kupafuta Ni Shida
hhahahahaha kmmmmmmmkbila kusahau baby care
Nimeipenda hii , nami nitaenda kujioneasikuelekezi mkuu unaweza ukapotea ukasema nimekuingiza choo cha wanajeshi ukanilaumu,nakupenda sana ndugu yangu naomba chukua hizi namba ukifika k.koo piga 0655-746693 duka lipo mtaa wa aggrey barabarani ilipo benki ya posta.
baada ya benki ya posta tu duka la kwanza mkono wako wa kulia kama unaelekea china plaza,ingia duka hilo hilo usiulize kitu piga hiyo namba ukiwa ndani ya hilo duka utaona ataepokea kisha muonyeshe hii comment unayoisoma hapa,usiongee mara mbili.
sio LG tu kuna Hisence,star x,maisha,sony na tv nyingine nyingi tu mkuu,nadhani ukifika dukani utaona zaidi kwa macho yako kuliko haya maelezo ninayotoa hapa.
kwa maana ntauza gari feki ama acha kuingia kwenye mkumbo kwani mtoto akijichanganya kwenye ujinga tunasemaga anakuwa ila akifanya mtu mzma jamii humshangaaTv copy zipo nyingi.
Bwana Jery wewe Ni dalali wa siku nyingi.
Yakupasa uwe mkweli, sio kuendekeza ujanja ujanja wakati tv ni copy hata aijifichi.
Wee mwnyw Unajua hili, nafsi inakusuta apo ulipo.
Ukiendelea hivi,
WATU watakukimbia Hadi kule kwny udalali wako wa magari.
UAMINIFU NI MTAJI
Sent using Jamii Forums mobile app