jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,872
- 10,195
sawa mkuu ngoja nibadilisheUtapata mteja muda sio mrefu.
Ushauri:
Usipende kuangalia TBC, hiyo luninga ina hatarisha afya ya akili.
mbona sioni logo ya LG
hapana sio ya ndani ya tv iliyo kwenye body namaanisha
kpo cha chuma kilibnduka hpo
hiyo ni copy LG ambayo bei ya jumla kariakoo kuanzia 10pieces ni 150k,bei ya kununua dukani mpya ni 280-250 unapata mpya ndani ya box lake.kpo cha chuma kilibnduka hpo
naomba nielekeze hilo duka wanalouza lg inch 32 kwa 280 nikanunuehiyo ni copy LG ambayo bei ya jumla kariakoo kuanzia 10pieces ni 150k,bei ya kununua dukani mpya ni 280-250 unapata mpya ndani ya box lake.
wewe unauza 300k bei sio rafiki kwa aina ya tv unayouza,atleast uwe muungwana bei yako uza 200k mkuu.
sikuelekezi mkuu unaweza ukapotea ukasema nimekuingiza choo cha wanajeshi ukanilaumu,nakupenda sana ndugu yangu naomba chukua hizi namba ukifika k.koo piga 0655-746693 duka lipo mtaa wa aggrey barabarani ilipo benki ya posta.naomba nielekeze hilo duka wanalouza lg inch 32 kwa 280 nikanunue
sikuelekezi mkuu unaweza ukapotea ukasema nimekuingiza choo cha wanajeshi ukanilaumu,nakupenda sana ndugu yangu naomba chukua hizi namba ukifika k.koo piga 0655-746693 duka lipo mtaa wa aggrey barabarani ilipo benki ya posta.
baada ya benki ya posta tu duka la kwanza mkono wako wa kulia kama unaelekea china plaza,ingia duka hilo hilo usiulize kitu piga hiyo namba ukiwa ndani ya hilo duka utaona ataepokea kisha muonyeshe hii comment unayoisoma hapa,usiongee mara mbili.
sio LG tu kuna Hisence,star x,maisha,sony na tv nyingine nyingi tu mkuu,nadhani ukifika dukani utaona zaidi kwa macho yako kuliko haya maelezo ninayotoa hapa.
sijaelewa intention yake maana huenda hajui labda kuwa nnapokaa na kkoo ni dakika 10 tu kwa miguu na ninaijua in and out sema bado nafkiria kinachomfanya akomalie kuwa lg inauzwa 180 inch 32 ni kipi maana star x tu inauzwa 350 kkooBank ya posta mtaa wa Agrey? Acha umburura [emoji706]
sijaelewa intention yake maana huenda hajui labda kuwa nnapokaa na kkoo ni dakika 10 tu kwa miguu na ninaijua in and out sema bado nafkiria kinachomfanya akomalie kuwa lg inauzwa 180 inch 32 ni kipi maana star x tu inauzwa 350 kkoo
sawa mbururaBank ya posta mtaa wa Agrey? Acha umburura [emoji706]
wewe ni wakuja usibishesijaelewa intention yake maana huenda hajui labda kuwa nnapokaa na kkoo ni dakika 10 tu kwa miguu na ninaijua in and out sema bado nafkiria kinachomfanya akomalie kuwa lg inauzwa 180 inch 32 ni kipi maana star x tu inauzwa 350 kkoo
wewe mkolomije ulieuziwa lg 43inch ile bei tena nyamaza kabisa wewe tena ni zaidi ya mkimboka,unaniona kwenye nyuzi za tv sana kwasababu najua tv nalala nazo naamka nazo nashinda nazoKuna thread yangu pia nauza tv size 43 huyo jamaa ni kawaida yake kuvamia thread za watu na kuandika ujinga wake