Nauza Lens Nikon Camera

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
2,522
2,000
kumbuka matumizi sahihi ya alama za kiuandishi kama vile :/; /, yasipozingatiwa hupotosha maana iliyokusudiwa. nakubaliana nawe kuwa niliwapa shida walimu wangu; jaribu kuisoma tena hiyo sentensi iliyounda kichwa cha habari. linganisha maudhui ya habari yenyewe (yaumbwe kwenye kiini cha bei) 240,000 sawa na kamera mtumba!!!!
 

Lyamber

JF-Expert Member
Jul 24, 2012
10,152
2,000
Ukiona huelewi jua tangazo si kwa ajili yako jamaa anauza lens ya nikon 240,000 lena ya 70-300mm mtu ambaye anauzoefu za dslr atakua kesha elewa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom