if cap fits
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 1,477
- 2,089
ook ndugu nimekuelewaHaupo serious, weka picha weka , mahali kuwa seriois
[emoji3] [emoji3] umetisha mkuu, hapa nimebaki najiuliza hiyo picha umeionea wapi au macho yangu yanashida labda duhNimevutiwa sana na picha ya tv yako
Bado ipo vizuri wateja watakuja mkuu
Acha kutisha watu,wewe unashida ndio maana umeleta tangazo.mimi siyo mfanya biashara,na ninauza kwa sababu zilizo nije ya uwezo wangu,hivyo mwenyehitaji nimesema anicheki na wala sihitaji coment zisizo na ulazima kama ningekuwa mfanya biashara ningeandaa mazingira ya kibiashara zaidi ,kama hamna mwenye uhitaji si kesi pia.mana maduka watu munayajua
wazee mm si mtaalam sana kwa mambo haya lakin tv yenyewe ndo hiyo i kwa aliye serious tutaongeaAcha kutisha watu,wewe unashida ndio maana umeleta tangazo.
Kuwa mpole,leta picha
Acha janja janja
hahahahahhah watu wana utundu wa kuchezesha akili sana.[emoji3] [emoji3] umetisha mkuu, hapa nimebaki najiuliza hiyo picha umeionea wapi au macho yangu yanashida labda duh
bei gani hii tvwazee mm si mtaalam sana kwa mambo haya lakin tv yenyewe ndo hiyo i kwa aliye serious tutaongeaView attachment 866256View attachment 866258View attachment 866260
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kutisha watu,wewe unashida ndio maana umeleta tangazo.
Kuwa mpole,leta picha
Acha janja janja
we ni askari police nn (aborder tecno)kwa anaehitaj,ninauza led tv aina ya aborder 32 ,ni full hd ina kioo cha protector ipo na hali nzuri sana kwani ninaitumia mwenyewe,pia nina simu aina ya Tecno Camon X ni mpya na ni nzuri kwa anae fuatilia simu anazijua.nina list zake zote kwa anae hitaji tuwasiliane 0678458422.bei maelewano.
nipo mwanza ila huwa nasafir had dar hivyo kwa mikoa ya hapa katikat tunaweza kuonana vzur tuIko mji gani?
tv 340 elfu na simu 290 elfuSema starting price..ili mtu apime mfuko wake kabla hajakufuata