Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,330
- 176,111
🤣🤣🤣🤣 box zilitengenezwa chache jamani, na laptops zikawa nyingi kuliko box. Muwe waelewa.Mbona ananiambia tu tofauti box zilikosa ikabidi zije bila ya box
🤣🤣🤣🤣 box zilitengenezwa chache jamani, na laptops zikawa nyingi kuliko box. Muwe waelewa.Mbona ananiambia tu tofauti box zilikosa ikabidi zije bila ya box
Yaani🙆♂️Tunadanganywa tusio na shule sio?
Bado IPO?;!!Hizi ni refurbished Clean as New
Karibu dukani na delivery tunafanya Pia
Warranty 6months
Lenovo 300e ni za 2021
Ipo BossBado IPO?;!!