Nauza laptop yangu bei poa

Nauza laptop yangu bei poa

Bei uliyoweka ni nzuri na inaushawishi kama ningekuwa nayo bei uliyoweka ni ningekuPm fasta lakini nikutakie biashara njema
Ok mkuu thanx even kwa ku apriciate
 
Na kwakuwa wengi wana tamaa humu, some one will bite the hook, kuna mtu anatafutwa hapa
 
Ukikosa mteja ijumaa nishtue nikupe 200k af inayobak next week
 
Na je ina Backlit? (ile taa ndani ya keyboard inayowezesha matumizi hata kwenye giza)
Asubuhi nitacheki,maana mashine ipo ofisini na muda huu ndio nacheki jf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom