Njoo nikuuzie DellDaaah ingekuwa Dell ningeivuta mapemaaa...Hp nimepoteza trust kwao sana
Betri inakaa muda gan mkuu kuwa mkwelCore i 5,ni HP
Njoo PmNjoo nikuuzie Dell
Bei uliyoweka ni nzuri na inaushawishi kama ningekuwa nayo bei uliyoweka ni ningekuPm fasta lakini nikutakie biashara njemaHuwezi kupata laptop ya specs kama hizo kwa 300000 mkuu. Laptop imeshiba