Nauza Laptop Second Hand Kwa Laki 2

juan moses

JF-Expert Member
Feb 16, 2014
2,403
2,477
Ni Laptop Aina Ya Gateway,Windows 8,Ram 2 Gb,Hard Disk 149 Gb,32 Bit. Nzuri Kwa Wale Ambao Hawana Matumizi Makubwa Ya Pc,Wale Wenye Matumizi Ya Kawaida Kama Kutype Au Kuangalia Movie Kusikilizia Miziki Au Kuangalia Movies Na Kuzidownload Bas Hii Itawafaa.
1459071116369.jpg
937c3357bcfa692a67e407442a83d849.jpg
d4085197d0ecc99b82603268e6356cd7.jpg
1459071223108.jpg


Naweza Kusema Ina Tatizo La Battery,Adapter Ilikatika Nilipoitengeneza Kama Kukiwa Kuna Umeme Unaitumia Vizuri Tu Bila Tatizo.After All Sidhani Kama Kuna Ambaye Yuko Secured Kutumia Pc Kukiwa Hamna Umeme.
So Kama Mtu Uko Interested Niinbox Au Nicheck Through 0653309478.
Adios!
 
Back
Top Bottom