Nauza laptop samsung Tshs 340000/=

Nauza laptop samsung Tshs 340000/=

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
478
Habari wanajamvi kuna laptop aina ya samsung yenye RAM 2GB HARD DISC 500 MB rafika yangu anauza amewamba yuko DAR ES SALAAM

contact 0756614571
 
Yangu Samsung kwa 300,000/- tu.

-Still in a good Condt
-with Solar panel
-500GB HD
-2GB Ram
-Intel Atom processor with 2.0GHZ
-Windows 7
-3HRS with Charge
-with a new Bag for carrying it.
-Wireless Mouse

Kama Umeipenda tafadhali-PM
 
ImageUploadedByJamiiForums1415534856.292301.jpg t ImageUploadedByJamiiForums1415534878.703324.jpg ImageUploadedByJamiiForums1415534891.210092.jpg ImageUploadedByJamiiForums1415534906.469420.jpg

Aliyeipenda hii Machine, please anifuate PM kwa Bei ya Tsh: 300,000 tu. Bado iko kwenye Hali nzuri sana. Sifa zake ziko hapo juu.
 
Hapana. Abdul Ahmed mng'mbe. Hata hiyo tatu ni Kama nafanya msaada tu. It is in a very good Condt.

Ukiiona hutaregret kuinunua.
 
Hapana. Abdul Ahmed mng'mbe. Hata hiyo tatu ni Kama nafanya msaada tu. It is in a very good Condt.

Ukiiona hutaregret kuinunua.

ni pm namba yako. screen ni LED au LCD? Inch ngapi?
 
Kaka mambo vp aiseee ebu nitumie number yko tuweze kuongea naitaji iyo laptop
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom