Firecracker
Member
- May 21, 2017
- 51
- 45
- Thread starter
- #21
Point yako ni ipi haswa mkuu?
Point yako ni ipi haswa mkuu?
Point yako ni ipi haswa mkuu?
Alijua watu hawajui haya mamboUmeombwa uweke picha za hiyo laptop unaenda kuokota picha za mitandaoni.
😀 😀 😀 🙂Umeombwa uweke picha za hiyo laptop unaenda kuokota picha za mitandaoni.



anatuchoraPicha na maelezo yako havina ushirikiano mkuu mbna!??Point yako ni ipi haswa mkuu?
We jamaa upo serious kweli? Unajua mpaka hapa watu washakuwekea doubt.Anayehitaji hiyo mashine aje PM
Uongo huu. Mimi nimekaa na Lenovo huu mwaka wa saba na inatumika daily haijawahi kusumbua. Actually, ndo naitumia kuandikia hii msg. Kimsingi Lenovo ni imara sana.Yah,zikishakua battery low,znakupa warning ukiipuuzia znazma ghafla.
Hakuna mwenye roho ngumu hivyo boss, yani uoneshwe jinsi gani ulivyo muongo na tapeli bado mtu akufate pm hahaaa, umeombwa picha ya kitu unachouza umeweka ambayo sio, huko pm ukiombwa si ndio utamtukia picha ya jike la mbuzi...maaana inshort kama umeweka picha ambayo sio yenyewe ina maana huna! Karibu mkuu kwenye anga la utapeliAnayehitaji hiyo mashine aje PM
Fikra zako mbovu hazitakufikisha popote mkuu. Nimeweka namba ya simu hapo ili anayehitaji tuwasiliane. Wanaojua wameshanitafutaHakuna mwenye roho ngumu hivyo boss, yani uoneshwe jinsi gani ulivyo muongo na tapeli bado mtu akufate pm hahaaa, umeombwa picha ya kitu unachouza umeweka ambayo sio, huko pm ukiombwa si ndio utamtukia picha ya jike la mbuzi...maaana inshort kama umeweka picha ambayo sio yenyewe ina maana huna! Karibu mkuu kwenye anga la utapeli
Hawajui wanachokiongea mkuu. Achana naoUongo huu. Mimi nimekaa na Lenovo huu mwaka wa saba na inatumika daily haijawahi kusumbua. Actually, ndo naitumia kuandikia hii msg. Kimsingi Lenovo ni imara sana.
Biashara njema mkuuFikra zako mbovu hazitakufikisha popote mkuu. Nimeweka namba ya simu hapo ili anayehitaji tuwasiliane. Wanaojua wameshanitafuta
AsanteBiashara njema mkuu
Hakuna mwenye roho ngumu hivyo boss, yani uoneshwe jinsi gani ulivyo muongo na tapeli bado mtu akufate pm hahaaa, umeombwa picha ya kitu unachouza umeweka ambayo sio, huko pm ukiombwa si ndio utamtukia picha ya jike la mbuzi...maaana inshort kama umeweka picha ambayo sio yenyewe ina maana huna! Karibu mkuu kwenye anga la utapeli

Hapana mkuu. Ni ya kawaidaIn screetouch???
Pathetic..?na ambayo haizimi ghafla huwa inafanyaje, inakuimbia kwanza wimbo wa CCM wa utaisoma namba?
ushasema inakupa warning, halafu unasema imezima ghafla, hivi tatizo ni nini, kuna vichwa vingine DNA helix inazunguka anti-clockwise?