Nauza Laptop Dell Latitude 5400, ina tatizo

Nauza Laptop Dell Latitude 5400, ina tatizo

ameline

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2013
Posts
2,292
Reaction score
1,152
Habar zenu wandugu.
niliwahi kuomba msaada hapa kuhusu laptop yangu iloungua IC ila sikupata suluhu.
naiuza kwa yeyote anaeweza kuichukua hasa kwa mafundi.
ram 2gb
hdd 250
naomba mniambie bei jamani.kuna anaetaka ram na hard disc. sasa sijui nimuuzie bei gan wataalam nisaidien.kama nikimuuzia je motherboard naweza uza sh ngap?
nawasilisha.
 
jamaa batry ya hiyo Dell 5400 inakaa na charge? nahitaji nichek 0716-844978
 
jamaa batry ya hiyo Dell 5400 inakaa na charge?

yaani ni 3hrs ndugu.watu wanataka niwauzie kimoja kimoja sasa vingine nipeleke wapi?
nashukuru ntakuchek
 
Mbona namba yako haipatikanag ndugu yangu plz nipm
 
Mbona inatengenezeka hiyo laptop, nenda Machinga complex utawakuta mafundi kibao na spea zipo kibao
 
Back
Top Bottom