mahatmaxlla
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 967
- 1,575
Futa basi picha yako ibaki laptonga peke yake! Ingawa hivyo umetokelezeaje!!Habarini wakuu!
Nauza laptop aina ya asus,ina muda wa miezi mitatu tangu nilipo nunua na aina shida yeyote
Bei ya kuuzia ni laki nne na ishirini kwa muhitaji anaweza kunicheki pm tukawasiliana vizuri napatika dodoma area D kwa sasa. View attachment 859512View attachment 859514View attachment 859516View attachment 859518View attachment 859519View attachment 859522View attachment 859524
Samahani mkuu imetokea tu haikuwa lengohuyo dada vipi? naye yupo sokoni!
ina taachi creen? life ya betri mda gani?Habarini wakuu!
Nauza laptop aina ya asus,ina muda wa miezi mitatu tangu nilipo nunua na aina shida yeyote
Bei ya kuuzia ni laki nne na ishirini kwa muhitaji anaweza kunicheki pm tukawasiliana vizuri napatika dodoma area D kwa sasa. View attachment 859512View attachment 859514View attachment 859516View attachment 859518View attachment 859519View attachment 859522View attachment 859524
Okay ngoja nijaribuFuta basi picha yako ibaki laptonga peke yake! Ingawa hivyo umetokelezeaje!!
Mdada hauzwi labda mtoto!huyo dada vipi? naye yupo sokoni!
huyu ni wewe unayeuza iyo laptop?
Kama ni wewe ni inbox number yako tuifanye biashara nyingine😌huyu ni mm ittakuwa alikosea akaibebelezea
.😂niko busy nawateja wengineKama ni wewe ni inbox number yako tuifanye biashara nyingine
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].[emoji23]niko busy nawateja wengine
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
Acha upumbavuVp na ww unataka tufanye biashara? ,[emoji18]
Umeiba wapi?Habarini wakuu!
Nauza laptop aina ya asus,ina muda wa miezi mitatu tangu nilipo nunua na aina shida yeyote
Bei ya kuuzia ni laki nne na ishirini kwa muhitaji anaweza kunicheki pm tukawasiliana vizuri napatika dodoma area D kwa sasa. View attachment 859512View attachment 859514View attachment 859516View attachment 859518View attachment 859519