Amani kwenu wadau,
Nina machine mbili nauza binding na lamination kwa bei ya kutupa,
Lamination machine naiuza 75,000/= bei inapoa
Binding machine naiuza 65,000/= bei inapoa
Kwa anayetaka zote kwa pamoja binding na lamination nipatie 130,000/=
Maelewano yapo.
Kwa mawasiliano nipigie 0754 669580
Hizi picha chini ni picha halisi za mashine zilivyo
any serious buyer nipigie simu tufanye biashara, karibuni.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kwa maelezo ya mwanzo haioneshi wewe kua mfanyabiashara wa hivyo vitu. Hii kauli ya kusema umewatumia watu wengi inanipa mswali zaidi ya majibunaweza mkuu, nishawatumia watu wengi kwa njia ya bus na kupokea mzigo salama salimini, nicheck hapa 0754 669580
Inategemeana na biashara na aina ya tangazo lako lilivyo. Kwahapa umetudanganya. Wewe sio muuzaji wa vifaa (i mean unauza hivi kwasababu za kimatumizi na sio biashara) labda kama una biashara unayoifanya nje ya jf ila sio ya stationarykwani idadi ya watu wengi inaanzia wangapi?
Sasa mbona katangazo kafupi, hujaelezea bidhaa zote![]()
![]()
Mkuu usiongee kuchangamsha kijiwe, kama huna evidence ni bora ukapiga kimya... hiyo hapo juu ni printer nimemtumia huyo jamaa yuko mbeya kwa kupitia kampuni ya U & B express na ameipata printer yake fresh. Kwa udhibitisho mpigieni simu awadhibitishie au nenda ofisi za hiyo kampun pale ubungo upewe ukweli.
Sihitaji lamination ila kulingan na maelezo yako nahisi unaweza kua na bidhaa zingine. By the way mfanyabiashara hakasirikiwewe hata hueleweki unataka nini, anyway mind your own business