baby wa kitaa
Member
- Oct 22, 2013
- 65
- 26
Baby wa kitaa biashara imenishinda!kukaa kibandani kusubiri wateja ambao hata sijui watakuja au la imekuwa ngumu!nauza line yangu ya TIGO PESA bei lakin nane tu!changamkieni basi mwenzenu nimechoka na biashara!
Ehuuuu. Nimekuja mbio kumbe, wala, siyo kuuza tigo ninayoijua!
jamani line bado ipo
nipe laki 8 tuYauzwa sh ngp baby wa kitaa?
nipe laki 8 tu
jamani kwani kuuza kitu ni kupungukiwa mawazoupungufu wa mawazo
mkuu fanya japo 7 kama uko seriousLaki nne
Baby wa kitaa biashara imenishinda!kukaa kibandani kusubiri wateja ambao hata sijui watakuja au la imekuwa ngumu!nauza line yangu ya TIGO PESA bei lakin nane tu!changamkieni basi mwenzenu nimechoka na biashara!
sijapoa!nikuuzie mkuupole sana baby wa mtaani!!
Mimi mwenyewe nauza kwa laki 5 mpaka Leo sijapata mteja
Mpya laki sita used laki tano mhh