Unaona enheeee ila kila mtu na bahati yake.hiyo bei juuBiashara au ubabe?
Wewe ulilazimishwa kununua zote kwa pamoja? Au kila moja ulinunua wakati tofauti tena kutoka kwa makampuni tofauti.
Anyway endelea kuuza but hizo bei sijui kama umepitia nyuzi za wauzaji wenzako humu ukaona bei kwanza.
All the best
Biashara au ubabe?

Unaona enheeee ila kila mtu na bahati yake.hiyo bei juu
Kampuni ya simu tu..ukiona mtu anauza kama mimi nae kazipatia huko huko kampun ya simu japo hazitolewi tu kama laini ya kawaida zina vimasharti vyake ambavyo ndo vinawashinda watu wengi so ili kupita shortcut ndo unaaamua kununua kwa mtu ili kukwepa mlolongo ambao ungekutana nao kama ungezifata mwenyewe,,na sio kununua tu kama karanga hapo kumbuka unauziwa laini yenye usajili wa jina la mtu na utalitumia jina lake miaka yote so kama utanunua laini kwa DAUDIHizi line Kwani zinatolewa wapi, kampuni za simu au mtu binafsi