Nauza lain ya mpesa na airtelmoney

Nauza lain ya mpesa na airtelmoney

dtf

Senior Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
121
Reaction score
12
habar wapendwa.nauza lain yangu ya mpesa na airtel money kila moja nauza kwa sh 170000.karibun sana
 
ukihtaj waweza nitafuta kwa namba 0712620078.
 
you cant be serious laki moja na elfu sabini line ya M-PESA?
ni mpyaa?

habar wapendwa.nauza lain yangu ya mpesa na airtel money kila moja nauza kwa sh 170000.karibun sana
 
Niliskia hizi line wanauza wenyewe tu, nikweli?
 
yah ni mpya.niliinunua wkii iliyopita nilikuwa nataka niifanyie biashara bahat mbaya hela niliyoitegemea ckuipata ndio mana nimeamua kuiuza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom