K ket Member Joined Jan 17, 2014 Posts 13 Reaction score 1 May 5, 2014 #1 Wadau nauza kwale kila mmoja sh 15000 na mayai yapo trei 25000 . Tafadhari tuwasiliane kwa wanaotaka kufuga au kutotolesha au lishe au dawa. 0712878737
Wadau nauza kwale kila mmoja sh 15000 na mayai yapo trei 25000 . Tafadhari tuwasiliane kwa wanaotaka kufuga au kutotolesha au lishe au dawa. 0712878737
NI MTAZAMO TU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 1,203 Reaction score 1,001 May 5, 2014 #2 Kwale huyooo atakuwa wa uchawi,, maana najua kwale hafugiki, nimejaribu kama 2 kwa muda tofauto kesho tu nakuta amekufa, Sasa ndugu yangu wakwako ni wa aina gani atiii
Kwale huyooo atakuwa wa uchawi,, maana najua kwale hafugiki, nimejaribu kama 2 kwa muda tofauto kesho tu nakuta amekufa, Sasa ndugu yangu wakwako ni wa aina gani atiii
T time theory JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 766 Reaction score 640 May 5, 2014 #3 Mbona nasikia ni mnyama pori huyo kwamba unatakiwa uwe na kibali cha maliasili??? Wewe unacho?? Na utakaowauzia utawakagua kama wanacho???? Ni swali tu
Mbona nasikia ni mnyama pori huyo kwamba unatakiwa uwe na kibali cha maliasili??? Wewe unacho?? Na utakaowauzia utawakagua kama wanacho???? Ni swali tu