Nauza kwale na mayai yake

Nauza kwale na mayai yake

ket

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Wadau nauza kwale kila mmoja sh 15000 na mayai yapo trei 25000 . Tafadhari tuwasiliane kwa wanaotaka kufuga au kutotolesha au lishe au dawa. 0712878737
 
Kwale huyooo atakuwa wa uchawi,, maana najua kwale hafugiki, nimejaribu kama 2 kwa muda tofauto kesho tu nakuta amekufa,

Sasa ndugu yangu wakwako ni wa aina gani atiii
 
Mbona nasikia ni mnyama pori huyo kwamba unatakiwa uwe na kibali cha maliasili???

Wewe unacho?? Na utakaowauzia utawakagua kama wanacho???? Ni swali tu
 
Back
Top Bottom