Nauza kuku wa mayai wanataga

Nauza kuku wa mayai wanataga

Marambo

Senior Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
104
Reaction score
69
Habari za leo. Ninauza kuku wa Mayai ambao wanataga. Nataka kusafiri nimeona niwatoe maana sina usimamizi mzuri. Wanafaa kwa nyama hotelini pia.
20161216_062722.jpg
20161216_062801.jpg
 
Tuwasiliane 0784686575. Nipo Dar, mbezi ya kimara
 
hawa kuku wanataga na wanatoa tray 6.5 hadi saba kasoro kwa siku, unaweza kuwachukua kwa kuendeleza mradi wako wa ufugaji. Kuku wangu hawalishwi dawa za madukani (kizungu) , mimi ni mtaalam wa kutengeneza pia dawa za kuku za majani. mayai yake wanayotaga yana kiini cha njano kwa mbali kama ya kienyeji kutokana na utunzaji wa kuku
 
Tupe makisio ya saizi ya ukubwa wa mayai...yaani wanataga mayai madogo, saizi ya kati au makubwa? kama nikiamua kuendeleza biashara basi nijue jinsi ya kuuza. Pia toka waanze kutaga wamemaliza miezi mingapi ili nikadirie muda utakao baki mpaka watapokoma kutaga !! Majibu ya maswali haya yatamsaidia sana mnunuzi kuamua kuwachukua wote ikiwezekana.
 
Habari, nauza kuku wakubwa wenye kilo 2+
Wa mayai, ni Saso. Tuwasiliane kupitia whatsapp +255683076464
 

Attachments

  • D76B973C-FB19-4BB1-B0C1-12E45D36EDE1.jpeg
    D76B973C-FB19-4BB1-B0C1-12E45D36EDE1.jpeg
    7 KB · Views: 21

Similar Discussions

Back
Top Bottom