B Butiyangu Senior Member Joined May 19, 2018 Posts 123 Reaction score 168 Jul 4, 2018 #1 Habari wana JF mm ni mjasiliamali wa kuuza kuku wa kienyeji, natafuta wateja ambao wanauwezo wa kununua kwa jumla, Nina kuku zaidi ya 150 majogoo kwa mtetea, nipo Dsm kwa mawasiliano zaidi piga simu 0713851851
Habari wana JF mm ni mjasiliamali wa kuuza kuku wa kienyeji, natafuta wateja ambao wanauwezo wa kununua kwa jumla, Nina kuku zaidi ya 150 majogoo kwa mtetea, nipo Dsm kwa mawasiliano zaidi piga simu 0713851851
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,684 Reaction score 45,614 Jul 4, 2018 #2 Weka hata picha basi ya kuku wawili watatu..
Beah Senior Member Joined Feb 15, 2015 Posts 127 Reaction score 76 Jul 4, 2018 #3 Weka picha na bei mkuu