Mimi ni supplier, ninauwezo wa kuzalisha kuku 400 kwa wiki.
Natafuta wanunuzi, nitaingia nae mkataba nitakua namuuzia kuku kwa bei ya chini ukilinganisha na bei iliyopo sokoni.
(Mfano, kama sokoni bei ni 5,500 mimi nitamuuzia 5,000 mpaka 4,500)
Note kwa mnunuzu anahitaji kununua: Minimum order kwa wiki: kuku 100