Nauza kuku wa Broiler

Nauza kuku wa Broiler

KABAKA28

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
211
Reaction score
229
Mimi ni supplier, ninauwezo wa kuzalisha kuku 400 kwa wiki.

Natafuta wanunuzi, nitaingia nae mkataba nitakua namuuzia kuku kwa bei ya chini ukilinganisha na bei iliyopo sokoni.
(Mfano, kama sokoni bei ni 5,500 mimi nitamuuzia 5,000 mpaka 4,500)

Note kwa mnunuzu anahitaji kununua: Minimum order kwa wiki: kuku 100

Kuku ni wakubwa na wanapatikana uhakika.

Nipigie tufanye biashara 0767521736

Shamba lipo Mbezi Msakuzi Dar es Salaam.

Screenshot_20200325-144039_Video%20Player.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom