Nauza Kuku jamii ya Kuchi

Huwa nawapenda sana kuchi nilijaribu kuwafuga tatizo majogoo yanapenda kupigana na huwa hawakubali kushindwa. Uzuri wake ni kwamba wana manyoya machache na uzito mkubwa. Hivi sasa nimebahatika kupata mbegu ya kienyeji wenye maumbo makubwa na uzito mkubwa ila sijajua wanaitwaje. Natupia picha kama kuna mdau anajua aniambie maana nimeshindwa kujua nia aina gani.
 

Attachments

  • IMG_20150919_151418.jpg
    353.5 KB · Views: 115
  • IMG_20150919_152020.jpg
    281.5 KB · Views: 96
  • IMG_20151126_210246 - Copy.jpg
    235.3 KB · Views: 85
Sawa mkuu. Ukiingiza sokon unijulishe bas ni sh.ngap?
 

Kaka nimekuwhatsapp naona kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…