W wandalo Member Joined Apr 7, 2012 Posts 9 Reaction score 1 Sep 27, 2012 #1 Kuku wanauzwa kwa jumla, majike 35 kwa 15,000 kila mmoja na majogoo 5 kwa 18,000 kila mmoja.. Contact 0715988522
Kuku wanauzwa kwa jumla, majike 35 kwa 15,000 kila mmoja na majogoo 5 kwa 18,000 kila mmoja.. Contact 0715988522
morphine JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 3,513 Reaction score 1,114 Sep 27, 2012 #2 sasa hapa mtihani sijui nikishawapika nasema nakula wa kisasa au wa kienyeji :confused2:
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Sep 27, 2012 #3 morphine said: sasa hapa mtihani sijui nikishawapika nasema nakula wa kisasa au wa kienyeji :confused2: Click to expand... Unakula afukasti aka chotara
morphine said: sasa hapa mtihani sijui nikishawapika nasema nakula wa kisasa au wa kienyeji :confused2: Click to expand... Unakula afukasti aka chotara
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Sep 27, 2012 #4 wandalo said: Kuku wanauzwa kwa jumla, majike 35 kwa 15,000 kila mmoja na majogoo 5 kwa 18,000 kila mmoja.. Contact 0715988522 Click to expand... Ntajuaje wana miezi 8 na sio 60?
wandalo said: Kuku wanauzwa kwa jumla, majike 35 kwa 15,000 kila mmoja na majogoo 5 kwa 18,000 kila mmoja.. Contact 0715988522 Click to expand... Ntajuaje wana miezi 8 na sio 60?
W wandalo Member Joined Apr 7, 2012 Posts 9 Reaction score 1 Sep 27, 2012 Thread starter #5 Safari_ni_Safari said: Ntajuaje wana miezi 8 na sio 60? Click to expand... Macho yako yatakujuza
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,263 Reaction score 17,138 Sep 27, 2012 #6 wandalo said: Macho yako yatakujuza Click to expand... Ok ngoja nitafute hiyo 615,000......je wanataga au wanasubiri bisu tu?
wandalo said: Macho yako yatakujuza Click to expand... Ok ngoja nitafute hiyo 615,000......je wanataga au wanasubiri bisu tu?
M MLERAI JF-Expert Member Joined Apr 4, 2012 Posts 667 Reaction score 275 Sep 27, 2012 #8 upo mkoa gani nihitaji mayai kwa ajili ya kutamishia
W wandalo Member Joined Apr 7, 2012 Posts 9 Reaction score 1 Sep 27, 2012 Thread starter #9 MLERAI said: upo mkoa gani nihitaji mayai kwa ajili ya kutamishia Click to expand... Nipo dar. Mayai kuna order za watu huwa wanakuja kuchukua
MLERAI said: upo mkoa gani nihitaji mayai kwa ajili ya kutamishia Click to expand... Nipo dar. Mayai kuna order za watu huwa wanakuja kuchukua