Nauza korosho

Namata

Senior Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
154
Reaction score
190
Mm ni muuzaji wakorosho za kuokwa kutoka masasi mtwara. Nawatangazia wanaoitaji korosho mm naziuza mfano kwa picha chini.
 

Attachments

  • IMG_20250604_131557_974.jpg
    293.3 KB · Views: 20
Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
Mbona unaonyesha kushindwa mapema?

Huku ukiweka tangazo likajitosheleza, kila mtu ana muda wake wa kuingia humu,

Ukitegemea Leo Leo utafutwe hpn jifunze kuwa na subra, kubali kuweza,

Usikate tamaa! Good luck and work hard
 
Ata ivyo nimeandika tu lkn najuwa umu akuna wakununua korosho zangu.
Kama ulijuwa umu akuna wa kununua korosho zako, kwa nini sasa umekuja kuweka tangazo lako? Huoni kuwa umepoteza muda wako bure?
 
Reactions: K11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…