Upo wp wwAmani kwenu wadau,
***Happy boxing day***
Nina mashine tatu ziko sokoni zote ni dell optilex desktop na monitor zake ni hp compaq E1711 zimetumika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kwa matumizi ya stationery, zipo katika hali nzuri na zinafanya kazi vizuri.
specifications zake;
RAM 2GB
HDD (Hard disk 150 GB)
DVD RW DRIVE.
Computer 2 zina OS - WINDOWS 8.1 pro na moja ni windows 7 zote zina 64-bit OS.
PROCESSOR INTEL (R) Core Duo CPU 2.93 GHz.
8 USB PORT (usb port ziko 8 kwa kila PC)
Microsoft office ipo installed kwa kila PC.
Ukichukua zote 3 kwa pamoja nitakupa punguzo la bei Tsh 550,000 nitakupa na free external dvd rw (Transcend)
Bei kwa kila moja ni 200,000/=
Kwa anayehitaji anichek hapa 0754 669580
umeiba wapi hizi komputa. utatoa risiti?utaonyesha risiti ulizonunulia?Amani kwenu wadau,
***Happy boxing day***
Nina mashine tatu ziko sokoni zote ni dell optilex desktop na monitor zake ni hp compaq E1711 zimetumika ndani ya kipindi cha mwaka mmoja kwa matumizi ya stationery, zipo katika hali nzuri na zinafanya kazi vizuri.
specifications zake;
RAM 2GB
HDD (Hard disk 150 GB)
DVD RW DRIVE.
Computer 2 zina OS - WINDOWS 8.1 pro na moja ni windows 7 zote zina 64-bit OS.
PROCESSOR INTEL (R) Core Duo CPU 2.93 GHz.
8 USB PORT (usb port ziko 8 kwa kila PC)
Microsoft office ipo installed kwa kila PC.
Ukichukua zote 3 kwa pamoja nitakupa punguzo la bei Tsh 550,000 nitakupa na free external dvd rw (Transcend)
Bei kwa kila moja ni 200,000/=
Kwa anayehitaji anichek hapa 0754 669580
Moshi townwap unapatikana