Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 492
Kiwanja kikubwa chenye ukubwa wa sqm 656 kipo buyuni, kimepimwa na kina hati ya miaka 99, pia ada zake zote zimelipiwa. Kimezungukwa na nyumba mpya za shirika la PSPF. Ni kizuri sana kipo jirani na shule ya msingi, kwenye kona na maji yanapatikana hapo hapo. huna haja ya kuingia gharama ya kuvuta umeme kwani shirika hilo linavuta umeme. Bei maongezi.
Kwa mwenye kuhitaji piga 0773 422 205 au niandikie miwatamu@gmail.com
Kwa mwenye kuhitaji piga 0773 422 205 au niandikie miwatamu@gmail.com