Nauza kiwanja

TRACE

Senior Member
Jul 4, 2008
120
46
Habari wana JF.Ninauza kiwanja changu kilichopo Kimara Kilungule chenye saizi ya 18x14m.Nilikinunua miaka kama miwili iliyopita.Kipo sehemu ya juu na hakihitaji hata kusawazishwa ili ujenge.Sababu ya kukiuza ni kutaka kupata hela na kufanya kitu kingine.Barabara ipo mpaka site na umeme pia.Ni umbali wa 200m kutoka Kimara Kilungule - Kiwanjani.Bei ni Milioni 7.5 na maongezi yapo.Kwa mawasiliano tumia 0716 322169 au 0784 505171.Karibuni
 
Jamani hizi bei mnazitoa wapi? 20*20 eneo hilo hilo kuna viwanja vizuri kabisa vya 2.5m. Wewe kiwanja kidogo hicho unauza bei mara tatu yake.

Labda kama kina vitu vya ziada lakini vinginevyo................
 
acheni ujuaji, hii ni biashara huria huna hela piga kimywa wenye nazo wanunue. Tatizo la wachangiaji wengi hawana hela kazi kuchonga
 
acheni ujuaji, hii ni biashara huria huna hela piga kimywa wenye nazo wanunue. Tatizo la wachangiaji wengi hawana hela kazi kuchonga

kama wachangiaji wengi hawana hela kwanini umeleta hili bandiko hapa

nashauri peleka hili bandiko The Gurdian na The East African newspapers utapata wateja
 
7.5M kwa 18* 14? You must be kidding, lol.

Kwa kweli! 14x18m = 252 sm kidogo kupita kawaida, sijuwi hata nyumba unajengaje hapo! Naweza kupata kiwanja cha 1200 sm kwa mil. 10 maeneo yaliyopimwa kabisa. Du hii bei balaa!
 
@lat m2 asilete tangazo lake kuogopa vuvuzela mkosaji kama wewe. Huna hoja wambwela na post za wa2 kama huna cha kupost nakushauri pata muda wa kupumzika labda akili itafikiri sahihi,@mazingira hujalazimishwa kununua hicho kiwanja we sepa kwenye hicho kinachokufaa uclete ujuaji hapa huna lolote kwanza hata bei za ardhi huzijui umezoea udalali
 
Jamani hizi bei mnazitoa wapi? 20*20 eneo hilo hilo kuna viwanja vizuri kabisa vya 2.5m. Wewe kiwanja kidogo hicho unauza bei mara tatu yake.

Labda kama kina vitu vya ziada lakini vinginevyo................
Mponjoli si ndio maana akatoa namba za simu ili muwasiliane kama kunalolote mnaloweza wekana sawa lakini sio kuumbuana kama hivi banaaaaaa!!!
 
@lat m2 asilete tangazo lake kuogopa vuvuzela mkosaji kama wewe. Huna hoja wambwela na post za wa2 kama huna cha kupost nakushauri pata muda wa kupumzika labda akili itafikiri sahihi,@mazingira hujalazimishwa kununua hicho kiwanja we sepa kwenye hicho kinachokufaa uclete ujuaji hapa huna lolote kwanza hata bei za ardhi huzijui umezoea udalali
tangazo kaweka trace vuvuzela upige wewe, kaoge ulaleeeeeee
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom