Plot4Sale Nauza kiwanja Zinga Mlingotini

Plot4Sale Nauza kiwanja Zinga Mlingotini

ysr

New Member
Joined
Apr 11, 2025
Posts
2
Reaction score
0
Habari ndugu zangu,nauza kiwanja ukubwa ni 20 ×24 kiwanja kipo karibu na barabara ya vumbi inayoenda mlingotini kina karatasi ya mauziano bei 6,00,000/= maongezi kidgo yapo

Phone number 0657759846, 0653652755

Kiwanja kipo nyuma ya nyumba ya kwnza kutoka barabara ya vumbi..kina njia pana tu ya gari hadi kiwanjani..asanteni
Pwani,bagamoyo
 
Hivi nyie mnaoweka matangazo ya namna hii huo mna akili timamu kweli? sasa hiyo zinga mlingotini unaamini kila mtu anaifahamu? ni mkoa gani? wilaya gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom